Nahitaji kujuzwa

Nahitaji kujuzwa

ISACOM

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
546
Reaction score
413
Hivi kuna uwezekano wa mwanamke siku zake za hedhi kama inaanza tarehe 28 na mwisho tarehe 2..je kuna uwezekano wa tarehe husika kufika na hedhi isianze mpaka wiki 2 au 3 zaidi..naombeni maelekezo ya wataalam
 
Back
Top Bottom