ISACOM JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 546 Reaction score 413 Aug 13, 2014 #1 Hivi kuna uwezekano wa mwanamke siku zake za hedhi kama inaanza tarehe 28 na mwisho tarehe 2..je kuna uwezekano wa tarehe husika kufika na hedhi isianze mpaka wiki 2 au 3 zaidi..naombeni maelekezo ya wataalam
Hivi kuna uwezekano wa mwanamke siku zake za hedhi kama inaanza tarehe 28 na mwisho tarehe 2..je kuna uwezekano wa tarehe husika kufika na hedhi isianze mpaka wiki 2 au 3 zaidi..naombeni maelekezo ya wataalam