Nahitaji kujuzwa

Nahitaji kujuzwa

ISACOM

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
546
Reaction score
413
Hivi kuna uwezekano wa mwanamke kupitiliza muda wa hedhi hata kama tarehe husika imefika?kupitiliza huko kukafikia hadi wiki 2 mpaka 3..naombeni maelekezo wataalam
 
Week 2?? Nenda hosp akacheki mimba.

Ninavyojua mwanamke anaweza kuzidi kama week moja hivi
 
Wewe ni baba Kijacho tayari,, so anza kuandaa mazingira ya kabebiii!!
 
Aha ha ha..lakin sio mm baba kijacho,,kama itakuwa hivyo rafik yangu kabahatika
 
Inwezekana lakini muda mwingine ni matatizo na muda mwingine inategemea na halia yahewa kama kabadilisha mazingira.
Kuna vitu ambavyo vinasababisha hedhi kupitiliza muda wake.
1. Msongo wa mawazo.
2. Mlo( nikimaanisha mpangilio au aina ya vyakula anavyokula)
3. Maradhi
4.Matumizi ya dawa mara kwa mara
5.Kupungua uzito
6. Kuwa na uzito ulozidi
 
Jaman yule mdau kajipima kwa kile kipimo kinachoitwa Nova,,preginancy test kakuta ni negative,,.lakin mpaka leo hii bado hajapata hedhi...Sasa anaamua kwenda kupimia hospital..kweli kuchelewa kote huko hakuna shaka
 
Mimi nina mfano wa ubavu wangu kama miezi nne iliyopita amekuwa akikaa hata wiki 3 baada ya siku zake kufika bila kuona hata dalili za kuingia au kuziona siku zake lakini wiki ya nne mwanzo akaingia. Na hii imemtokea mara tatu sasa. Labda wataalamu wanawezasema zaidi chanzo cha kukaa mda mrefu hivo ni nn.
 
mimi nimepitiliza siku 20 sasa
tangu tarehe ya hedhi ifike..
na najiskia kubleed lakini haitoki
na mimba nmepima juma3 sina[emoji24][emoji24]
sijui ni nini...?
 
Inawezekana kabisa lkn inategemeana na sababu. Mfano kama mwanamke alitumia emergence contraceptives zile hua zinachange mzunguko.so wakati mnasubiri trh fulani inaweza kurushwa mbele hata majuma mawili
 
Jaman wadau mm bibie anatatizo Leo siku ya kumi bado ana bleed and her normal flow is about three dayz what is cause and how anaweza kuavoid that?!!
Your help is of important
 
Jaman wadau mm bibie anatatizo Leo siku ya kumi bado ana bleed and her normal flow is about three dayz what is cause and how anaweza kuavoid that?!!
Your help is of important
aende hosp kwa maelezo zaidi asimfiche docta..
mimi nilibleed mwezi mzima nikaenda tu duka la dawa nikaeleza wakanipa dawa flani zinakata bleed za mwezi mzima halafu zinaset period upya
zinaitwa promoteN jina kama hilo japo sikumbuki vizuri
 
Aisee mwezi mzima!!! Bwana wako aliisoma number
 
Back
Top Bottom