Wanabodi,
Nahitaji kukodi Malori Matano ya Kichanja (not box body, preferably Scania 113) haraka iwezekanavyo. Terms & Conditions ni kama ifuatavyo:-
Nahitaji kukodi Malori Matano ya Kichanja (not box body, preferably Scania 113) haraka iwezekanavyo. Terms & Conditions ni kama ifuatavyo:-
- Malipo kwa siku ni 500k (Laki 5). Hii ni net payment wakati gharama zote za Dereva pamoja na mafuta ni juu yangu;
- Gari liwe katika hali nzuri zaidi ya kufanya kazi ikiwa ni pamoja na vibali vyote vinavyotakiwa kwa mujibu wa Sheria. Hata hivyo, endapo gari litaharibika na kuhitaji matengenezo makubwa (major repair/maintenance) Mmiliki atawajibika;
- Mmiliki atatakiwa kuwa na Dereva wa kwake ili kuepusha lawama juu ya matumizi ya gari hilo;
- Mmiliki atawajibika kwa uzembe wowote utakaofanywa na Dereva wake awapo barabarani, ikiwa ni pamoja na upotevu wa mizigo;
- Mmiliki atalipwa 50% wakati wa kusainiana Mkataba na kiasi kitakachosalia atakapomaliza muda wa Mkataba wake;
- Kwa kuanzia Mkataba utakuwa wa muda wa wiki moja (siku saba tu) ama vinginevyo itategemea na ukubwa na ufanisi wa utendaji kazi (yaani ni renewable but subject to satisfactory performance of the Contract);
- Atakayehitaji tufanye biashara aje pm tuyajenge zaidi.