Nahitaji kuku wa kienyeji Dar es Salaam kwa ajili ya ufugaji

Nahitaji kuku wa kienyeji Dar es Salaam kwa ajili ya ufugaji

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Anayejua wanapouzwa kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla kwaajili ya ufugaji anijuze. Nahitaji kuku kama 30-50 hivi nianze ufugaji.
 
Anayejua wanapouzwa kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla kwaajili ya ufugaji anijuze. Nahitaji kuku kama 30-50 hivi nianze ufugaji.
nina majogoo 10 ya kienyeji nauza elfu 25 mmoja, nipo Dar es salaam
 
Guys nahitaji kuweka order au kununua vifaranga 100 kwa bei ya sh 1000 kila kimoja, nahitaji vifaranga specifically vya Kuroila, ila kama hivyo havipo bhas tutazungunza kuhusu vilivyopo, kama Kuna mtu anavyo anitext directly please! NIPO MOROGORO.
 
Back
Top Bottom