Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Apr 1, 2021 #1 Anayejua wanapouzwa kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla kwaajili ya ufugaji anijuze. Nahitaji kuku kama 30-50 hivi nianze ufugaji.
Anayejua wanapouzwa kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla kwaajili ya ufugaji anijuze. Nahitaji kuku kama 30-50 hivi nianze ufugaji.
Rion Jr JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 623 Reaction score 691 Apr 2, 2021 #2 Unapatikana wap nichek 0746696878
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Apr 3, 2021 Thread starter #3 Bazillion said: Unapatikana wap nichek 0746696878 Click to expand... Niko Mvuti karibu na Chanika. Nitakupigia. Sema leo nina safari, nikirud takucheki
Bazillion said: Unapatikana wap nichek 0746696878 Click to expand... Niko Mvuti karibu na Chanika. Nitakupigia. Sema leo nina safari, nikirud takucheki
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,261 Reaction score 528 Apr 15, 2021 #4 Sandali Ali said: Anayejua wanapouzwa kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla kwaajili ya ufugaji anijuze. Nahitaji kuku kama 30-50 hivi nianze ufugaji. Click to expand... nina majogoo 10 ya kienyeji nauza elfu 25 mmoja, nipo Dar es salaam
Sandali Ali said: Anayejua wanapouzwa kuku wa kienyeji kwa bei ya jumla kwaajili ya ufugaji anijuze. Nahitaji kuku kama 30-50 hivi nianze ufugaji. Click to expand... nina majogoo 10 ya kienyeji nauza elfu 25 mmoja, nipo Dar es salaam
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Apr 15, 2021 Thread starter #5 Viva89 said: nina majogoo 10 ya kienyeji nauza elfu 25 mmoja, nipo Dar es salaam Click to expand... Sasa majogoo 10 kwa 250000 nitayafanyia nini? Labda ingekuwa makoo tungeongea
Viva89 said: nina majogoo 10 ya kienyeji nauza elfu 25 mmoja, nipo Dar es salaam Click to expand... Sasa majogoo 10 kwa 250000 nitayafanyia nini? Labda ingekuwa makoo tungeongea
Viva89 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 1,261 Reaction score 528 Apr 15, 2021 #6 Sandali Ali said: Sasa majogoo 10 kwa 250000 nitayafanyia nini? Labda ingekuwa makoo tungeongea Click to expand... hata ukihitaji mmoja natoa, ni kwamba ninao 10 ninaotaka uza kwa sasa
Sandali Ali said: Sasa majogoo 10 kwa 250000 nitayafanyia nini? Labda ingekuwa makoo tungeongea Click to expand... hata ukihitaji mmoja natoa, ni kwamba ninao 10 ninaotaka uza kwa sasa
G gorilla 1 JF-Expert Member Joined Apr 28, 2021 Posts 202 Reaction score 114 May 13, 2022 #7 Guys nahitaji kuweka order au kununua vifaranga 100 kwa bei ya sh 1000 kila kimoja, nahitaji vifaranga specifically vya Kuroila, ila kama hivyo havipo bhas tutazungunza kuhusu vilivyopo, kama Kuna mtu anavyo anitext directly please! NIPO MOROGORO.
Guys nahitaji kuweka order au kununua vifaranga 100 kwa bei ya sh 1000 kila kimoja, nahitaji vifaranga specifically vya Kuroila, ila kama hivyo havipo bhas tutazungunza kuhusu vilivyopo, kama Kuna mtu anavyo anitext directly please! NIPO MOROGORO.