Nahitaji Kuku wa kienyeji kutoka malawi (vifaranga)

Nahitaji Kuku wa kienyeji kutoka malawi (vifaranga)

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,600
Reaction score
35,158
Habari wadau,

Baada ya kujikusanya nimeona ni vyema nikawekeza hiki kidogo nilichonacho katika ufugaji wa kuku!

Kama kichwa kivyojieleza, nahitaji kuku wa kienyeji wa malawi kwa ajili ya kufuga. Nimevutiwa na kuku hasa kwa utagaji wa mayai (hii nimesoma kwenye majirida na kutoka kwa watu mbali mbali).

Je, vifaranga watakua wanauzwa bei gani? Vipi malezi yao kwa wenye uzoefu nao?

! Tafadhali nahitahiji msaada wenu katika kulifanikisha hili!

Nakaribisha maoni na michango. Malila chasha poultry na wadau wote karibuni.
 
Hiyo biashara ya kuku wa Malawi ina utapeli mkubwa sana;
wapo hata wachungaji kwenye hiyo biashara ila usipokuwa
macho utalizwa tu.
 
Hiyo biashara ya kuku wa Malawi ina utapeli mkubwa sana;
wapo hata wachungaji kwenye hiyo biashara ila usipokuwa
macho utalizwa tu.

Embu nieleweshe kidogo, huu utapeli unatokea wapi tena???! Naomba mwangaza nisipigwa za kichwa!!
 
Back
Top Bottom