B BabuLeo Member Joined Sep 12, 2018 Posts 29 Reaction score 13 Dec 13, 2023 #1 Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane.
Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane.
T Tangantika JF-Expert Member Joined Aug 12, 2018 Posts 5,586 Reaction score 7,087 Dec 15, 2023 #2 Njia nzur ni kuwatembekea wafugaji wewe mwenyewe. Pli wasiliana na madali wanaozunguka vijijini, wale wanajua wapi kuna mbegu unayoitaka. Singida ndi mzalishaji mkuu wa kuku wakubwa wa asili. Hivyo wasiliana na wadau waliosingida.
Njia nzur ni kuwatembekea wafugaji wewe mwenyewe. Pli wasiliana na madali wanaozunguka vijijini, wale wanajua wapi kuna mbegu unayoitaka. Singida ndi mzalishaji mkuu wa kuku wakubwa wa asili. Hivyo wasiliana na wadau waliosingida.
N Ntasemakweli Member Joined Aug 23, 2023 Posts 36 Reaction score 36 Feb 16, 2024 #3 BabuLeo said: Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane. Click to expand... Mimi nina SASO
BabuLeo said: Habari nina tafuta kuku wa kienyeji pure kwa ajli ya kufuga wale mbegu kubwa. Nipo Dar es salaam kwa alyenao tuwasiliane. Click to expand... Mimi nina SASO
RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,707 Reaction score 11,365 Feb 17, 2024 #4 Ntasemakweli said: Mimi nina SASO Click to expand... Wawauza sh ngapi?. Na wana umri gani?.