AMARIDONG JF-Expert Member Joined Jun 24, 2010 Posts 2,501 Reaction score 185 Nov 3, 2012 #1 habari, nimefungua migahawa na hotel nahitaji kuku wa nyama mara kwa mara waliokomaa sio vifaranga, hii ni katika kusaidiana wanajamii wenzangu, wale wafugaji tunaweza kuwasiliana 0713403840
habari, nimefungua migahawa na hotel nahitaji kuku wa nyama mara kwa mara waliokomaa sio vifaranga, hii ni katika kusaidiana wanajamii wenzangu, wale wafugaji tunaweza kuwasiliana 0713403840
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,553 Reaction score 3,081 Nov 3, 2012 #2 Shukuran sana
L Luiz JF-Expert Member Joined May 23, 2011 Posts 342 Reaction score 36 Nov 3, 2012 #3 unapatikana mkoa,wilaya gani?