Nahitaji kulifahamu jambo hili

Wadau walishaeleza mara nyingi sana search tu utaipata ila hii point huwa inasahaulika....sphincter muscles(misuli inayosaidia kubana m..k..n..du) huwa zinalegea unaanza kujambajamba hovyo hata wakati hutaki kujamba unasikia tu mzinga umelipuka.Lakini ikiadvance zaidi tu mavi tukija tunapitiliza maana hakuna komeo limeshaharibika kwikwikwikwi kazi ni kwako.
 
Ndio kuna madhara makubwa sana to both of you....she and he!!!!
 
Madhara yapo mengi mno,na madhara hayo yamegawanyika ktk makundi mawili!

1.madhara ya kiafya,kuna uwezekano mkubwa sn wa kupata maambukizi kwa nyote yaan mfanyaji na mfanywaji!

Anus haijaumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo,hivyo,wanaokitumia kiungo hicho wanalazimisha tu,na wanawake wengi wanaoingiliwa kinyume hupata matatizo wkt wa kujifungua!

2.madhara ya kiroho,
kitendo cha kulawiti ni kitendo chenye kumchukiza mungu kupita maelezo,mungu ameiumba njia hiyo kwa ajili ya kupitisha haja kubwa na sio kufanyia sex,ww ukiitumia kwa ajili ya sex,unamkosoa mungu kwa uumbaji wake!

Ukirejea zama za nabii Lutwi ,umma wake wote uliangamizwa kwa gharka kutokana na kufanya kitendo hicho (sodoma na gomora)!!

Kwanini uache kusex kwa kutumia njia special yenye "natural lubricants"ambazo zinakuwezeshen kulifaidi tendo na badala yake utumie sehem ambayo ina kinyesi na uchafu?????

Ebu tuache kuiga hawa washenzi wanaoigiza mapicha ya porn,najua kupitia mapicha hayo vijana wengi sikuiz wametokea kupenda kulawitiana kwa kuona ndio ujanja and modernity kumbe ni kujitafutia laana tu za muumba!!

Acha kabisa!!!!!!,kulaawiti(kula tigo) ni laana!!......
 
mbona mnairudiarudia hii topic yenu ya ufirauni? ni mara ngapi swali hili linaulizwa hapa?
 
mbona mnairudiarudia hii topic yenu ya ufirauni? ni mara ngapi swali hili linaulizwa hapa?

ukiona hivyo wanapenda ndo mana wanaipenda hii topic,yan wanadam sijui tunaelekea wapi!...ndo mana kila kukicha mishoga inaongezeka tu!!yote hayo ni matokeo ya utandawaz,kuangalia mapono ya kishoga na kulawitiana hatimae na wao wanatamani mwishoe wanageuka mashoga!
 
Mada hii imeshajibiwa vya kutosha lakini watu mnarudiarudia tu lengo ni nini? Au ni kutaka kueneza injili ya ufiranaji?
 
ndugu yangu naomba nikushauli kama ifuatavyo:-

1). mwanaume
ukifanya kitendo hicho milija ya mboo huingiza chembe chembe za mavi kwenye kibofu cha mkojo, na madhara yake ni UTI na kuziba njia hiyo= tiba mwone Doctor

2) herbes ni aina ya virus utavipata ukiingia huko kumavi = tiba hakuna tiba mbaka sasa zaidi ya YESU

3)mwanamke: mishipa kulegea na kunya hovyo au kujamba bila mpangilio
4) wakati wa kuzaa ------ hauwezi kufunga, hivyo kuruhusu mavi kutoka na kushindwa kusukuma mtoto
5) anal cancer- kansa ya ------
6)UTI
7)bawaziri
8)ni kosa kwa MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA DUNIA

lakini ninaimani unaakili timamu na sio kuiga porno video, itakula kwako
 
Mtoa maada ni kwel haujui au unataka kuhalalisha huo uchafu?majbu umeshapata kaz n kwako dnt say they didnt tell u!
 
Usithubutu....madhara yashasemwa humu mara kibao mpaka ishakua kama wimbo...anayeweza atakuwekea link.. wapi MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
inaonekana wewe huwa hutumii kondom katika sex!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…