Wadau kuna mwenye Info zozote juu ya wapi na vipi naweza kupata Kitabu cha Internal Medicine(Kumar And Clerck's au Davidson's?
Nipo Uchina nimejaribu kutafuta nimekosa. Kwa waliopo USA,CANADA au UK km kuna mwenye kuweza kunisaidia kunitumia kwa gharama tutakazokubaliana basi asisite tuwasiliane. afkombo@hotmail.com