Nahitaji kumjua mtafsiri wa filamu ya Yesu

Joeseoc

Member
Joined
Sep 11, 2018
Posts
65
Reaction score
93
Salaam JF,

Katika kukua kwangu, tangu nikiwa mtoto mpaka sasa mtu mzima nimeitazama mara nyingi filamu ya Yesu "Passion of Jesus"

Lakini aliyefasiri maneno katika filamu ile kwa lugha ya Kiswahili natamani sana nimjue, hasa yule aliye nukuu maneno kama Yesu mwenyewe.

Kila nikiitazamaga, maneno na sauti yake huwa kama inajirudiarudia akilini, hakika ana sauti ya kipekee.

Ni nani mtu yule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…