Nahitaji kumpeleka ndugu yangu kujiunga na chuo cha clinical officer sasa je fomu bado zipo?

MWANANCHI MUSOMMMA

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
328
Reaction score
50
Naombeni mniambie walau lugalo,ifakara au kibaha bado zipo wazi nafasi kwani nahitaji kumpeleka hata uuguzi kwani kukaa home nako sio vizuri kwa mtoto wakike |tafadhali madaktari,wauguzi wafanyakazi wa kawaida,wanajeshi na wengineo wanaofahamu kama bado nafasi zipo wanijuze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…