Nahitaji kumroga mtu, aliyenipiga mbele ya mke wangu

Tuma advance
 
Mkuu njoo inbox nikupe mchongo jamaa akale mvua Kwa msala mwingine kabisa na hapo ndiyo itakuwa nitolee.
 
Hakuna kitu inaitwa mashol art,
We unapigwa vibao mbele ya mkeo na watoto unakubali.
Kwangu .mimi huyo angetafta pa kuhamia maana si kwa balaa ningemletea angemsimulia hata aliyemuachia kiwanja cha urithi..
Ukienda kuloga kwa kesi km hizo mganga anaweza kukufanya ukawa mkewe wa mwisho.
 
Kwahiyo wewe kwako maumivu na kutokwa damu siyo issue ila kuonekana ukilia na kulalamika mbele ya mkeo ndiyo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…