Nahitaji kumuona Mwanagu, baba yake mlezi ananikatalia

Nahitaji kumuona Mwanagu, baba yake mlezi ananikatalia

Record Man

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2023
Posts
525
Reaction score
876
Karibuni wanajamii forum.
Kisa ndo hicho chini ya picha.

IMG-20241113-WA0002.jpg
 
Huyo Mwanetu ni bwabwa sana.

Mzazi halali hanyimwi mtoto labda kama umethibitisha ana nia ya kumuua.
 
Jamaa yako aache mambo ya ajabu, kwakujifanya anamjali mtoto wake. Kama anatambulika hiyo inatosha kwasasa. Atafute mke aoe, wapate watoto wengine, huyo atakuja mwenyewe kwa muda sahihi kama ni wakuja.
 
Yaani nimemlea tangu ananyonya hukuwahi kutokea, nikampeleka shule wewe
uko mafichoni leo ameanza kazi ndiyo unaleta pua zako? Haki ya nani lazima nikufir.....
Mkuu, kumlea kwako tangu ananyonya, ndiyo kunakufanya uwe Baba Mzazi wa Mtoto?!!

Baba Mzazi ni mmoja tuu siku zote, hana mbadala. Na damu ni nzito kuliko Maji.
 
mchukue mwanao uishi naye, ili mawasiliano yasiwepo, Baba mlezi anaepusha mazingira ya kupasha kiporo
 
Mkuu, kumlea kwako tangu ananyonya, ndiyo kunakufanya uwe Baba Mzazi wa Mtoto?!!

Baba Mzazi ni mmoja tuu siku zote, hana mbadala. Na damu ni nzito kuliko Maji.
Unajua matoto hayo huwa yanasemaje?
 
Back
Top Bottom