Nahitaji kununua Fluke 15b+ mtandaoni

Nahitaji kununua Fluke 15b+ mtandaoni

Kijana Jr

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
560
Reaction score
845
Habari za humu,

Naaaam kijana kama kijana yani Mimi kama Mimi nahitaji kununua bidhaa hii Kwa njia ya mtandao je kipi chakuzingatia
Screenshot_20200718-174602.png
 
Bongo zipo kibao hizo.......by the way fluke ni nzuri sana
 
Mkuu
Hili niweze kununua nibonyeze option gani hapo Na mpaka niweze kulipia
Alibaba hawana shopping cart mkuu, mara nyingi sana manunuzi yanakuwa ni makubaliano baina ya mnunuzi na muuzaji, kadhalika pia wanakuwa na minimum order quantity.

Jaribu kuitafuta AliExpress. Lakini pia jaribu pia ambazo zipo madukani hapa bongo, ili uone utofauti wa bei.

Karibu sana kwa msaada zaidi
 
Bongo zipo kibao hizo.......by the way fluke ni nzuri sana
Mkuu niwapi naweza kupata fluke kama hiyo hapo juu pichani fluke 15b+ ambayo sio auto range Kwa gharama hiyo ya elfu 35 assume
 
Alibaba hawana shopping cart mkuu, mara nyingi sana manunuzi yanakuwa ni makubaliano baina ya mnunuzi na muuzaji, kadhalika pia wanakuwa na minimum order quantity.

Jaribu kuitafuta AliExpress. Lakini pia jaribu pia ambazo zipo madukani hapa bongo, ili uone utofauti wa bei.

Karibu sana kwa msaada zaidi
Kwa hapa bongo naweza kupata 15b+ ambayo sio auto range Kwa bei gani
 
Duh....elfu 35.....agiza tu braza!
mkuu hiyo unayoiona hapo pichani ni15b+ bei yake umeiona hiyo sio auto range pia kuna fluke 15b+ ambayo ni auto range bei yake ni kama (150)laki Na hamsin
 
Attachments

  • Screenshot_20200718-231930.png
    Screenshot_20200718-231930.png
    42.6 KB · Views: 7
  • Screenshot_20200718-174602.png
    Screenshot_20200718-174602.png
    59 KB · Views: 6
Kwa hapa bongo naweza kupata 15b+ ambayo sio auto range Kwa bei gani
Nimejaribu kuicheki AliExpress... bei ya chini kabisa ni 150k.

Hiyo listed price ya Alibaba ni kwa minimun order quantity.

Nahisi kwa hapa bongo yaweza kuwa ni above 150k hivi.. ila sina hakika
 
Back
Top Bottom