kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,177
- 1,721
Msaada naohitaji ni kuwa hii gari inaweza kuwa na hizo sifa au ndio kusema nikiwa nayo nakuwa kama namiliki jini linalonyonya mafuta bila sababu yoyote?Hela umesema unazo sasa tukusaidie nini?
High risk pays take it from me.
Sasa mkuu, hilo gari limeandikwa specifications zake, Unatakiwa uzisome tu utapata majibu yote ya utumiaji wa mafuta n.k.Msaada naohitaji ni kuwa hii gari inaweza kuwa na hizo sifa au ndio kusema nikiwa nayo nakuwa kama namiliki jini linalonyonya mafuta bila sababu yoyote?
Kama hauoni ushauri nini Ok
Duuuuh, kazi kweli kweli OK nimekuelewaSasa mkuu, hilo gari limeandikwa specifications zake, Unatakiwa uzisome tu utapata majibu yote ya utumiaji wa mafuta n.k.
Hapa unataka majibu makali yatakayokuponza hizo hela ukanunue bia ujipooze.
Nunua mkuu ila sio 15m! Ni gari nzuri sana!Nina 15 Millions za kitanzania ninahitaji hii gari kwani nimeambiwa kuwa ni economy na spea zake hupatikana kirahisi sana
Nisaidieni jamani wanajf nisije juta baade View attachment 471092
Nahitaji ushauri wako je hii gari ipoje? Kabla ya kuinunua. Niambie sifa zake
Ooops sikujua ni ist new model sina hakika na bei!Nunua mkuu ila sio 15m! Ni gari nzuri sana!
Ushauri nzuri sana.Nunua mkuu ila sio 15m! Ni gari nzuri sana!
Kamsimamishe anayeendesha huo mkoko kisha muulize hayo maswali. Huku utashauriwa na wamiliki wa maguta itakuja kukugharimu.Msaada naohitaji ni kuwa hii gari inaweza kuwa na hizo sifa au ndio kusema nikiwa nayo nakuwa kama namiliki jini linalonyonya mafuta bila sababu yoyote?
Kama hauoni ushauri nini Ok
Hahahahahaaa maguta tenaKamsimamishe anayeendesha huo mkoko kisha muulize hayo maswali. Huku utashauriwa na wamiliki wa maguta itakuja kukugharimu.
Unaishi wapi, unahitaji gari kwa matumizi yepi?Nina 15 Millions za kitanzania ninahitaji hii gari kwani nimeambiwa kuwa ni economy na spea zake hupatikana kirahisi sana
Nisaidieni jamani wanajf nisije juta baade View attachment 471092
Nahitaji ushauri wako je hii gari ipoje? Kabla ya kuinunua. Niambie sifa zake
Acha kukurupuka. Soma uelewe. Kasema hela anazo ila anachotaka ushauri kuhusu iyo gari.Hela umesema unazo sasa tukusaidie nini?
High risk pays take it from me.
Yap million 26Hiyo gari huwezi kupata kwa bei hiyo. Ni zaidi ya milioni ishirini na ushee.
Cjakuelewa mkuu maana ughali najua upo katika kulinunua ila mimi nataka kufahamu Management yake tu. Kuhusu kununua usiwazeUnaishi wapi, unahitaji gari kwa matumizi yepi?
After all hiyo gari ni ghali sana haina tofauti IST toleo la nyuma yake.
Nataka kufahamu juu ya management yake kuhusu price usiwaze najua nitaipataje toka JapanHiyo gari huwezi kupata kwa bei hiyo. Ni zaidi ya milioni ishirini na ushee.
Management ya kawaida sana, ila manunuzi ndo yako juuCjakuelewa mkuu maana ughali najua upo katika kulinunua ila mimi nataka kufahamu Management yake tu. Kuhusu kununua usiwaze
Mimi nilivyomuelewa anataka kupata uzoefu kwa mtu mwenye gari aina aina hiyo ili kabla hajanunua ajue A,B,C zake! kusoma specifications pekee hakutamsadia sana. mimi binafsi ninayo IST mwaka wa 4 sasa haijawahi kunisumbua kwa namna yoyote zaidi ya kufanya service za kawaida tu!Sasa mkuu, hilo gari limeandikwa specifications zake, Unatakiwa uzisome tu utapata majibu yote ya utumiaji wa mafuta n.k.
Hapa unataka majibu makali yatakayokuponza hizo hela ukanunue bia ujipooze.
Kati ya wote wewe umenielewa kwa 100% Hope haukuwa kilaza classMimi nilivyomuelewa anataka kupata uzoefu kwa mtu mwenye gari aina aina hiyo ili kabla hajanunua ajue A,B,C zake! kusoma specifications pekee hakutamsadia sana. mimi binafsi ninayo IST mwaka wa 4 sasa haijawahi kunisumbua kwa namna yoyote zaidi ya kufanya service za kawaida tu!