ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Tradecarview huwa naogopa Sana Magari yao huu mtandao unafanana na mtandao wa hapa kwetu kupatana.comNadhani hata tradecar view unaweza kufanya hivyo maana wana local representation
Okay tumia beforeward nilinunua gari mwaka juzi mwishoni 2018 December na nili-bargain na head office Japan, ila nikalipa hapa Tz local branch bila any transfer charges.Tradecarview huwa naogopa Sana Magari yao huu mtandao unafanana na mtandao wa hapa kwetu kupatana.com
Wengi wanaofanya biashara na jamaa huwa wanalalamika saana kuhusu Magari mabovu,sijajua bado kama hawa seller wanafanyiwa inspection za Magari Yao kama ilivyo be forward, SBT na autorec
Hawa si walishabadili jina?Nadhani hata tradecar view unaweza kufanya hivyo maana wana local representation
Na pia price zao ni kubwa sana kulinganisha na be forward wkt gari ni ile ile(Same VIN).Tradecarview huwa naogopa Sana Magari yao huu mtandao unafanana na mtandao wa hapa kwetu kupatana.com
Wengi wanaofanya biashara na jamaa huwa wanalalamika saana kuhusu Magari mabovu,sijajua bado kama hawa seller wanafanyiwa inspection za Magari Yao kama ilivyo be forward, SBT na autorec
Alafu hiyo ishu ya VIN sijajua inakuaje maana unakuta gari moja ipo Kwenye mitandao tofauti inauzwa sometimes ukiingia mtandao wa be forward utaikuta inauzwa bei tofauti na mtandao mwingine huku gari ni ileile mojaNa pia price zao ni kubwa sana kulinganisha na be forward wkt gari ni ile ile(Same VIN).
Aaaah!!! Wapi ni jinsi vile picha zao Tu vinavyotokea Kwenye mitandao Yao pia huwa hawachezi odometer ukikuta gari IPO km 70000 inakuwa hivyo tofauti na Magari ya Kwenye yard za hapa DAR huwa wanachezea cluster.Sijui ni mimi tu,,ila magari ya online kama sbt ama beforward naonaga kama yamechoka alafu yashakula kilometa za kutosha,
Aaaah!!! Wapi ni jinsi vile picha zao Tu vinavyotokea Kwenye mitandao Yao pia huwa hawachezi odometer ukikuta gari IPO km 70000 inakuwa hivyo tofauti na Magari ya Kwenye yard za hapa DAR huwa wanachezea cluster.....
Kwa mfano Toyota crown nyingi zinakuwa zinasoma km nyingi Sana Kwenye mitandao ya SBT na be forward Ila ukija Kwenye show room za kibongo utauziwa crown yenye km 50000 kushuka chini kitu ambacho ni uongo
Ahaaa, sasa nimeelewa chif.Aaaah!!! Wapi ni jinsi vile picha zao Tu vinavyotokea Kwenye mitandao Yao pia huwa hawachezi odometer ukikuta gari IPO km 70000 inakuwa hivyo tofauti na Magari ya Kwenye yard za hapa DAR huwa wanachezea cluster.....
Kwa mfano Toyota crown nyingi zinakuwa zinasoma km nyingi Sana Kwenye mitandao ya SBT na be forward Ila ukija Kwenye show room za kibongo utauziwa crown yenye km 50000 kushuka chini kitu ambacho ni uongo
Huna haja ya brockers hata kidogo, jua unataka gari gani, la mwaka upi (full specifications) Zama online huko sbt, be forward, autorec, trust vehicle na wengine. Chagua gari chukua taarifa rudi kwenye TRA calculator ujue kodi yake, kisha agiza baada ya invoivoice tuma muamala (hakikisha usitapeliwe) subiri utumiwe document gari ije na clearing agent watakutafuta.
Mkuu umemaanisha una 5m au umahisi watakupiga 5m madalali, sema ili nikupe ushauri mujarab!
Ukikwama njoo inbox tukusaidie BURE.