ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
nipo makini sanaaa mkuuu Yaani yule atakae kuwa recommended na wengi ndio nitamtafuta, huyu wa kwanza kaweka tuuu simu hajasema kama anauzaHatimaye fursa imejitokeza... Wanakuja mkuu ila umakini ni jambo la muhimu sana!
Wa kwanza aliyecomment hapo anabeba maboksi Marekani kuwa makini asikudanganye anauza simu
Kila la kherinipo makini sanaaa mkuuu Yaani yule atakae kuwa recommended na wengi ndio nitamtafuta, huyu wa kwanza kaweka tuuu simu hajasema kama anauza
nipo makini sanaaa mkuuu Yaani yule atakae kuwa recommended na wengi ndio nitamtafuta, huyu wa kwanza kaweka tuuu simu hajasema kama anauza
utapigwa, na lazima upigwe, upewe zile za MakumbushoMuuzaji gani naweza kumtafuta instagram
Mtafute instagram, Thetech360 au Phone_point_darHabarini Wadau
Nina hitaji kununua hii simu kutoka kwa Muuzaji yeyote aliyepo Dar, iwe Mpya Kabisaa. Mimi nipo mkoa tofauti na DAR. Lengo hapa nikujua ni Muuzaji gani naweza kumtafuta instagram ambae ni wa kuaminika na simu zake hazina magumashi.
Muuzaji ambae atapendekezwa na wengi bila shaka ndio nitakuwa mteja wake wa leo