Nahitaji kununua karafuu kilo za kutosha

mkuu tafuta connection Zanzibar, nahisi Serikali hua inauza ukitaka kwa kiwango kikubwa, kwa kiwango kidogo maduka spice maeneo ya darajani unaweza kupata
 
Darajani Zanzibar mkuu???
 
Darajani Zanzibar mkuu???

yah, sijui unatak kiwango gani ila Darajani zanzibar kwenye maduka ya spice huwa inapatikanwa, Na Serikali Zanzbar wana maeneo yao ambayo wanauza ila nahisi huwa kwa kuanzia quantity kubwa.
 
Kuanzia kilo mia hv? Kuvusha huku bara kuna ugumu wowote mkuu?
 
sifikiri kama kuna ugumu labda malipo ya bandari tu, zinazouzwa na serikali hua tayari zipo kisheria, ukienda pemba ndio unaweza kupata kimagendo tena hata mbichi kabisa kwa bei poa zaidi, ila shida inakuja kwenye kuzisafirisha.
 
Back
Top Bottom