A Abdul Mganyizi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2019 Posts 1,042 Reaction score 2,005 Jan 22, 2021 #1 Habari, Natafuta king'amuzi cha Azam bila kuwa na dish offa yangu sh. hamsini elfu,naomba mwenye mchongo aseme tutafutane na tuyajenge.
Habari, Natafuta king'amuzi cha Azam bila kuwa na dish offa yangu sh. hamsini elfu,naomba mwenye mchongo aseme tutafutane na tuyajenge.
puker JF-Expert Member Joined Nov 22, 2018 Posts 1,001 Reaction score 2,010 Feb 2, 2021 #2 Abdul Mganyizi said: Habari, Natafuta king'amuzi cha Azam bila kuwa na dish offa yangu sh. hamsini elfu,naomba mwenye mchongo aseme tutafutane na tuyajenge. Click to expand... Kipo unapatikana wap?
Abdul Mganyizi said: Habari, Natafuta king'amuzi cha Azam bila kuwa na dish offa yangu sh. hamsini elfu,naomba mwenye mchongo aseme tutafutane na tuyajenge. Click to expand... Kipo unapatikana wap?
Wiwachu JF-Expert Member Joined Nov 13, 2018 Posts 809 Reaction score 924 Feb 2, 2021 #3 puker said: Kipo unapatikana wap? Click to expand... Jibu sasa ameshapatikana mwenye nacho huyu hapa
MT255 JF-Expert Member Joined May 3, 2012 Posts 3,606 Reaction score 4,914 Feb 11, 2021 #4 puker said: Kipo unapatikana wap? Click to expand... Mkuu kama kipo njoo inbox tuyajenge