nahitaji kununua laptop

nahitaji kununua laptop

WA MAMNDENII

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2010
Posts
344
Reaction score
58
kama kuna mdau mwenye kujua kufahamu duka /mahali/mtu ambapo naweza kununua used laptop yenye kiwango cha kuridhisha isiyozidi tshs 500,000/ tafadhali anitonye au anielekeze pa kuipata, nina dogo wangu yupo chuo kapata boom lake kanipa uchache nimtafutie hivyo kabla sijaanza kuzungukia maduka town wadau mwaweza kunipa mwelekeo
 
shida yako imekwisha nicheki humu kwa private message then toclose the deal.
 
shida yako imekwisha nicheki humu kwa private message then toclose the deal.

du! mkuu kukucheki kwa private message kwenye hili jukwaa inanipa utata hebu nipe somo kamanda
 
du! Mkuu kukucheki kwa private message kwenye hili jukwaa inanipa utata hebu nipe somo kamanda

ndugu yangu hii forum ni kama face book hapo juu kwenye home page ukiangalia vizuri utakuta sehemu ya private message, au click kwenye user name yangu hapahapa, itakupeleka kwenye profile yangu then utanitumia message, kifupi ni kama email tu hakuna tofauti.
 
Back
Top Bottom