kama kuna mdau mwenye kujua kufahamu duka /mahali/mtu ambapo naweza kununua used laptop yenye kiwango cha kuridhisha isiyozidi tshs 500,000/ tafadhali anitonye au anielekeze pa kuipata, nina dogo wangu yupo chuo kapata boom lake kanipa uchache nimtafutie hivyo kabla sijaanza kuzungukia maduka town wadau mwaweza kunipa mwelekeo