House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,189
- 2,214
Sasa nahitaji vitu viwili tu. Nataka kununua mashine ya kusaga chakula cha kuku,naomba msaada, hizi zina tofauti na mashine zingine za kawaida? Nitapata wapi hasa mashine hii,bei yake ni ipi kwa mashine za kawaida zinazoweza kusaga tani 2 kwa mwezi. Mjasiliamali aliye na uelewa kwa swala hili naomba anisaidie kunipa elimu ya aina na aina za hizi mashine na bei zake.Naweza kunipm pia

Wadau na wafugaji
Ninazo mashine ndogo za kusaga na kuparaza ingredients zote za mifugo kama mahindi, dagaa., mashudu ya pamba na alizeti, mifupa, majani na nyasi kavu
Mashine hii inauwezo Wa kuprocess chakula cha mifugo 130kg/hour inatumia Umeme Wa single phase .... nguvu ya motor ni 2.2 KW ..... ina cheke cheke a in a tatu tofauti ni movable kuipeleka sehemu yeyote uliyopo nyumbani au kwenye shamba LA mifugo
pia waweza kuitumia kutengeneza au kusaga Mbolea ya halisi ya samadi ya kuku na ukiwa na mashine ya pellet unaweza tengeneza Organic pellet manure ambapo pellet machine unapatikana kwa order pia
tuwasiliane kwa details zaidi na bei
nitaweka picha ya mashine soon

MIFUPA
Tunauza mifupa inayotokana na wanyama kama vile ng'ombe, mbuzi nk
MATUMIZI
1. Inatumika kutengeneza chakula cha mifugo, kama vile kuku, kanga, bats ,nk
2. Kutungenezea sahani za mifupa
TUNASAMBAZA
1. Kilo moja hadi tan ya kilo za mifupa
YEYOTE ANAYETAKA KWA SHUGHULI YOYOTE
Mawasiliano
0627908738
0685876284