Mzalendo_Mkweli
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 2,025
- 1,270
Habari wana JF,
Nahitaji kununua Suzuki Carry truck na nimekuwa na negotiations katika Japan Trade Car View. Nimekuja hapa kupata mwongozo kwani magari mengi (4WD, cc zaidi ya 500) niliyojaribu kuongea na wauzaji ya chini ya mwaka 2000 wananipa CIF to DSM + JAAI Inspection ya kati ya USd 1900 na Usd 2200.
1. Kwa wale mliokwisha nunua huko nyuma hizi bei zipo katika range sahihi au wanataka kunilangua?
2. Nimeona element ya kutu katika baadhi ya magari, je hili jambo la kawaida ambalo mnunuaji analishughulikia gari likifika au vipi
3. Je kodi za haya magari hapo TRA zipo vipi? Kuna bei zilizo wazi za haya magari yakiwa mapya?
4.Nashukuru kwa ushauri wenu.
Ahsante