Nahitaji kununua Suzuki Carry, Nipeni mwongozo

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
2,025
Reaction score
1,270
Habari wana JF,

Nahitaji kununua Suzuki Carry truck na nimekuwa na negotiations katika Japan Trade Car View. Nimekuja hapa kupata mwongozo kwani magari mengi (4WD, cc zaidi ya 500) niliyojaribu kuongea na wauzaji ya chini ya mwaka 2000 wananipa CIF to DSM + JAAI Inspection ya kati ya USd 1900 na Usd 2200.

1. Kwa wale mliokwisha nunua huko nyuma hizi bei zipo katika range sahihi au wanataka kunilangua?
2. Nimeona element ya kutu katika baadhi ya magari, je hili jambo la kawaida ambalo mnunuaji analishughulikia gari likifika au vipi
3. Je kodi za haya magari hapo TRA zipo vipi? Kuna bei zilizo wazi za haya magari yakiwa mapya?
4.Nashukuru kwa ushauri wenu.


Ahsante
 
Mkuu naomba nikupe ushauri kidogo, mimi binafsi sipendelei kununua gari car trade view labda kama huyo anaekuuzia ulishawahi kununua kwake kwani wengi wao hapo ni wanaigeria ni matapeli sana, kama utaweza nunua sbt au be forward ingawa be forward ni vimeo sana.sbt wako poa sana.
Kwa upande wa kodi inategemea mwaka wa gari na cc za gari husika.
Yangu ni hayo tu!!!!!
 
Mkuu T02004 upo sahihi sana, hao jamaa sio kabisa!

Be forward ni wazuri ila gari zao ndio mbovu kuliko kampuni nyingine yyt Japan
 
Aisifuye mvua imemnyea! Kila mtu atasifu kampuni kulingana na jinsi ilivyomtendea.Mimi kwa upande wangu trade carview ni wazuri sana.na gari zao ni nzuri kama utapata muuzaji Wa kijapani mwenyewe na siyo wale walanguzi kutoka Zambia na nigeria
 
Unachosema babagodi sikatai ila hali kwa sasa sio shwari cartrade view wapo wazuri na wabaya bt sio sehemu safe sana kwa sasa.
Angalia kati ya hawa
1) Autorec jp ingawa bei zao ziko juu
2) Real motor jp wako poa ila hawana magari mengi
3) sbt jp wako poa ingawa nawao bei zao kidogo ziko juu kiasi
 
Wengi wanaisifia sana cartrade view kwa kuwa imefanya vizuri sana miaka michache iliyopita.
Na pia wengi wanaisifia sana be forward kwa kuwa ndio inayoongoza kwa kuimports used car car bt 90% ni vimeo yakiwemo yaliyopata ajari yakatengenezwa
 
Nimeshanunua magari matatu kutoka tradecar view. Na lingine nimelitoa mwezi huu wa kwanza. Na sijaona tatizo lolote, ninyi kama mnaogopa kulipa paytrade, halafu mkaibiwa msilazimishe ionekane kampuni nzima ina shida. Kwa upande wa bei, zipo sawasawa kabisa. CIF 1900 ni cheap. Inategemeana pia gari imetembea km ngapi. Mimi nimeagiza Suzuki carry kwa CIF 2600 hadi Dar, but ilikuwa na milege ya 20000.
 
Am an agent director of JAT logistics jmall 8th floor contact me for more abbreviation my number is +255 652 489648 will assist u in clearance at dar port and will give u advice on prices variation and y tete is a difference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…