Nahitaji mtu/ kampuni inayouza mawe yaliyokwisha katwa kwa vipimo maalum na kuwa polished (sandstone) aina ya Tanga stone kwa jina lililozoeleka.
Ningependa yenye rangi yenye asili ya unjano au orange, manunuzi yawe kwa square meter n.k
Usisite kuwasiliana nami kama una taarisha itakayonifaa!
Regards.