Nahitaji kuonana na daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake

Ryamalungu

Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
55
Reaction score
42
Wakuu habari, nahitaji kuonana Na dr bingwa wa wanawake kuhusu mambo ya uzazi, mwenye kujua wapi anapatikana, Mawasiliano yake au hospital gani tafadhalini msaada kwenu.
 
Dr Chettan Ramaiya,Regency hospital Dar,Dr Mbulumi yupo Kairuki Hospital Mchana lakini Asubuhi anakwepo Hospital ya Chuo kikuu Dar es Salaam
 
Profesa Majinge wa DCMC Dodoma ndio habari ya wanawake tz!
 
Back
Top Bottom