Ryamalungu
Member
- Mar 4, 2018
- 55
- 42
Dr Chettan Ramaiya,Regency hospital Dar,Dr Mbulumi yupo Kairuki Hospital Mchana lakini Asubuhi anakwepo Hospital ya Chuo kikuu Dar es SalaamWakuu habari, nahitaji kuonana Na dr bingwa wa wanawake kuhusu mambo ya uzazi, mwenye kujua wapi anapatikana, Mawasiliano yake au hospital gani tafadhalini msaada kwenu.
Nipo dsm kakaProfesa Majinge wa DCMC Dodoma ndio habari ya wanawake tz!
Sorry na mini naomba nisaidiie kwa mwanzaDr Chettan Ramaiya,Regency hospital Dar,Dr Mbulumi yupo Kairuki Hospital Mchana lakini Asubuhi anakwepo Hospital ya Chuo kikuu Dar es Salaam
Mwanza sijuiSorry na mini naomba nisaidiie kwa mwanza
Watu wanatoka mikoani kuja kumwona mkuu!Nipo dsm kaka
saw kaka, itakuwa umewasaidia na wengine hata wa karibu ya hukoWatu wanatoka mikoani kuja kumwona mkuu!