mbalisana
Member
- Dec 15, 2011
- 46
- 42
Ninatatizo la kuumwa kichwa hasa ninapokuwa na matatizo ya kifamilia, shule n.k.
Tatizo linazidi kadri siku zinavyoenda naweza nikaumwa hata wiki dawa za kutuliza maumivu wakati mwingine hazinisaidii. Nikipima hospitali wanakosa ugojwa mpaka imefika kama nikiumwa kichwa wakati ndani kunamatatizo nashidwa kumwambia mume wangu mpaka agundue mwenywe maana yeye anaamini najiendekeza kufikiria matatizo.
Pia napungua sana uzito nahitaji kuongeza uzito wa mwili maana nakosa raha nina kg chache sana Kuna siku ilibidi nikapima mpaka HIV bahati nzuri nikakutwa salama, urefu wangu ni cm 161 na uzito wa mwil iwangu mpaka jana ni kg46 . naomba msaada nifanye nini?