Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
We kijana acha kuhangaika. Kwani wewe blood group yako ni ipi, maana nasikia watu wa blood group fulani huwa ni wembamba hata wale chakula gani. Otherwise namuunga mkono JMF
Blood group gani mkuu?
kha......!!,so hujui hata kuwa kuna magroup ya damu?
Duh....pole mkuu. Mi nna kilo 70 nafukuzia zifike 75 nianze kujiskia na mm mtu
habari wakuuu bmi yangu ni 18.6 aprxmate under weight sasa nahitaji kuongeza kidogo atlast zifike 60 maana now na kama 53 msaada wakuu nmechoka na uwa nakimwili kidogo
beba JiweWadau mimi nahitaji kuongezeka uzito, ila uzito wa afya usio na madhara. Nifanyeje?
Kuna jamaa wa forever living wanazo dawa za kuongeza uzito, kuna mtu anaexperience nazo?
Nipeni ushauri wadau
Wadau mimi nahitaji kuongezeka uzito, ila uzito wa afya usio na madhara. Nifanyeje?
Kuna jamaa wa forever living wanazo dawa za kuongeza uzito, kuna mtu anaexperience nazo?
Nipeni ushauri wadau