BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,248
Kijana Tiba au suluhisho lako limeshakufikia wewe niPM upate virutubisho vitakavyokufanya ufurahie maumbile yako.Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni kijana mwanaume ambaye nina miaka 2 toka nianze kazi.
Lakini nilioanza nao kazi wametoka mashavu balaa ila mimi ndo kwanza nazidi kupungua wakati nakula vizuri ila pombe situmii.
Ushauri wenu tafadhali na kama kuna njia mbadala ya mimi kuweza kujazia.
Kawaone John Mnyika na Salumu Mwalimu. Watakusaidia shida yako kwani na wao walikuwa na shida kama hiyo.
Mandla.
Unataka uongezeke mashavu tu au parts zote za mwili???
Kijana Tiba au suluhisho lako limeshakufikia wewe niPM upate virutubisho vitakavyokufanya ufurahie maumbile yako.
Kijana Tiba au suluhisho lako limeshakufikia wewe niPM upate virutubisho vitakavyokufanya ufurahie maumbile yako.
Msaada na mm wakuu nataka niongezeke kama jamaa