just-imagine
JF-Expert Member
- Aug 18, 2015
- 373
- 449
0654985638Namba zako
Hahaha...kwa nini mkuu???Nilipanda mwaka jana wakati naishi Maji ya Chai Arusha. Nilitaka kufa. Niliishia Kibo stop. Nikarudi chini.
1. Atmospheric pressure kule juu ipo chini sana. Oxygen unaitafuta kwa tochi.Hahaha...kwa nini mkuu???
Nimepanda mwaka jana mwishoni, nilipita njia ya marangu. Changamoto nilianza kupata baada ya kufika kibo hut, kwanza sikuwa na hamu ya chakula pili kila nikijilazimisha kula natapika na usiku natakiwa kwenda summit. Nashukuru Mungu nilikomaa na mlima huku nikiwa na njaa hadi nikatoboa. Laiti kama ningemwambia guide tatizo langu wasingeruhusu kupanda ila niliwaficha, nikaja kuwàjulisha wakati nashuka1. Atmospheric pressure kule juu ipo chini sana. Oxygen unaitafuta kwa tochi.
2. Baridi damu inaganda mikononi.
3. Chakula mnashindia mikate na maji.
4. Sikuona raha yoyote zaidi ya tabu