Cards Fantasy
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 192
- 111
Habari za leo ndugu zangu.
Nahitaji eneo lenye miundombinu ya mabanda ya kufugia kuku nikodi/ nipange kwa maelewano na mwenye eneo husika.
Likipatikana eneo lenye uzio nje ya Mji itapendeza sana. kwa Mikoa ya Dar, Pwani hadi Morogoro.
Ikiwa ulikuwa na project ya ufugaji na sasa umesimama na miundombinu ipo nitashukuru tukiwasiliana.
Pia kwa mfugaji mwenza atayependa kufuga au kurudi kwenye ufugaji tunaweza share baadhi ya mambo pamoja.
Nipo Dar es Saalam.
Call/Text/WhatsApp 0784 645 900.