NAHITAJI KUPATA CONNECTION NA MIMI MARS.

NAHITAJI KUPATA CONNECTION NA MIMI MARS.

RAYAN THE DON

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
679
Reaction score
1,218
Habari zenu wakuu?

Wakuu kiukweli nampenda sana huyu mtoto mzuri MIMI MARS ambaye ni mdogo wake VANESA x wake Juma Jux.

Hivyo naomba connection na huyu mtoto.
 
We si the don

Kamfate kisha weka dau utangaze nia ya kumuoa uone kama itashindikana
 
Daah mim mars??? Mbona easy tu mkuu, hakukuwa na haja ya kumuanzishia uzi kabisa.
 
Naona unataka uwakamate wa jf wengi kwelikweli....kila la kheri...
 
Back
Top Bottom