Nahitaji kupata Control Number ya kulipia TRA

Nahitaji kupata Control Number ya kulipia TRA

Udochi

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
787
Reaction score
1,056
Waheshimiwa,
Tangu nikadiriwe mwaka jana sijalipa kodi hata awamu moja.

Kiuhalisia nikienda kuomba ofisini kwao, ni lazima nipigwe penalty.

Ninazo debit numbers za awamu nne kutoka kwenye karatasi ya makadirio,
Wajuzi naomba mnisaidie kupata zile karatasi za control number ili nikalipie juu kwa juu bila kupitia ofisi ya TRA.

Ahsante.
 
Habari, kama system ya efiling ingekuwa inafanya kazi vizuri kama awali, ningekushauri ufanye Payment Registration ambapo ungeweza kutoa control number kwa kutumia Debit Number. Ila Penalty ipo pale pale, maana system ingepick kuwa tarehe uliotakiwa kulipa na tarehe unayolipa ni tofauti.
 
Back
Top Bottom