Waheshimiwa,
Tangu nikadiriwe mwaka jana sijalipa kodi hata awamu moja.
Kiuhalisia nikienda kuomba ofisini kwao, ni lazima nipigwe penalty.
Ninazo debit numbers za awamu nne kutoka kwenye karatasi ya makadirio,
Wajuzi naomba mnisaidie kupata zile karatasi za control number ili nikalipie juu kwa juu bila kupitia ofisi ya TRA.
Ahsante.