Nahitaji kupata formula ya chakula cha kuku

Nahitaji kupata formula ya chakula cha kuku

Platnumking

New Member
Joined
Jun 30, 2022
Posts
4
Reaction score
3
Changamoto ya ufugaji wa kuku huja kwenye gharama za chakula. Kwa yeyote mwenye formula nzuri ya Chakula cha kuku chotara tupeane elimu zaidi kwaajili ya mafanikio zaidi.

ASANTENI
 
mkuu umejieleza ila bado hujajieleza sana. hao chotara lengo ni kuuza wa nyama au lengo ni kufuga watage? maana vyakula vyao vitatofautiana.

mbili, uko mkoa gani na nini kinapatikana zaidi.
 
Unapoomba msaada uwe unaweza kujibu ili uweze kusaidiwa
 
Back
Top Bottom