Usimkatishe tamaa mwenzio, kila mmoja ana mpango wake wa kutumia pesa ya mkopo kibiashara. Mkopo ni suluhisho muhimu la kupanua wigo wa mtaji wa biashara. Akina MO walianzia pia kupata mikopo yenye riba kubwa, wamefika walipo baada ya kupitia milima na mabonde ya riba za taasisi hizo hizo za kifedha. Tukaze buti tuache tabia hasi za kuogopa kukopa, ili ukuze wigo wa biashara ni muhimu kukopa ili mradi pesa za mkopo utumie kwa mujibu wa lengo la kuomba mkopo husikaBiashara nzuri ni ile inayojikuza yenyewe. Mikopo kwa hizi nchi zetu si nafuu kabisa kwa wajasiriamali. Actually wajasiriamali wengi wamepotea kwenye ramani sababu ya kujiingiza kwenye mikopo. Hao akina MO wana mikopo lakino wanapata very very special rate ambayo mimi na wewe hatuwezi kuipata.
Mwisho wa siku unaishia kuwafanyia kazi taasisi za fedha.
Ushauri wangu uza kiwanja. Badala ya kukopa.
Biashara nzuri ni ile inayojikuza yenyewe. Mikopo kwa hizi nchi zetu si nafuu kabisa kwa wajasiriamali. Actually wajasiriamali wengi wamepotea kwenye ramani sababu ya kujiingiza kwenye mikopo. Hao akina MO wana mikopo lakino wanapata very very special rate ambayo mimi na wewe hatuwezi kuipata.
Mwisho wa siku unaishia kuwafanyia kazi taasisi za fedha.
Ushauri wangu uza kiwanja. Badala ya kukopa.