Nahitaji kupata mkopo kwa kutumia shamba la miti au kiwanja

besaro

Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
52
Reaction score
40
Napenda kuwasalimu nyote katika jukwaa hili la mambo muhimu!
Ningependa kujua kama kuna mtu anayejua bank ambayo inaweza kutoa mkopo kwa dhamana ya shamba la miti au kiwanja na conditions ambazo zinahitajika kuweza kupata huo mkopo
 
Hilo shamba au hicho kiwanja lazima kwanza ujiridhishe kuwa una hati miliki ya wizara ya ardhi! na sio tu
umemilikishwa na aliekuuzia kupitia mjumbe wa serikali ya mtaa au kijiji.
 
So ukiwa na hiyo Hati naweza chukua mkopo??? Conditions ni zipi? Kuna limitation ya kiwango cha kukopa???
 
Limitation ni as per thamani ya hilo shamba au kiwanja, nao kuridhika kuwa ni halisia.
 
Back
Top Bottom