Napenda kuwasalimu nyote katika jukwaa hili la mambo muhimu!
Ningependa kujua kama kuna mtu anayejua bank ambayo inaweza kutoa mkopo kwa dhamana ya shamba la miti au kiwanja na conditions ambazo zinahitajika kuweza kupata huo mkopo

Hilo shamba au hicho kiwanja lazima kwanza ujiridhishe kuwa una hati miliki ya wizara ya ardhi! na sio tu
umemilikishwa na aliekuuzia kupitia mjumbe wa serikali ya mtaa au kijiji.