Nisalama moyoni
New Member
- Dec 28, 2023
- 3
- 27
Vigezo unavyo shida imekuja kwenye umri. Akiwa mdogo kiumri je???Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
Umeandika vitu vya msingi sana mkuuNyie mnanifanya nifrustrate zaidi yaani vipimo vya ndoa sio tena tabia, upole na upendo?
Vipi kama utampata mwenye hizo sifa alafu akakosa upendo wa dhati kwako?.
Awe anaishi dar vp ikitokea kesho umehamishiwa katerero utatuambiaje?. Awe mkristo kivipi by name or god fearing man?. Hyo ndoa itakuwa ya maigizo na mume utakuwa umemtengeneza kama kinyago. Wewe mpende akupendae kwani hata wewe unatakiwa uendane na yeye na sio yeye tu aendane na wewe. Mimi kama nitakuja siku hamtamaniani tena i.e Frustration comes when you two break up just because you're in inapropriate relationship.
Umeandika vitu vya msingi sana mkuu
Maandiko yanatimia taratibuNyie mnanifanya nifrustrate zaidi yaani vipimo vya ndoa sio tena tabia, upole na upendo?
Vipi kama utampata mwenye hizo sifa alafu akakosa upendo wa dhati kwako?.
Awe anaishi dar vp ikitokea kesho umehamishiwa katerero utatuambiaje?. Awe mkristo kivipi by name or god fearing man?. Hyo ndoa itakuwa ya maigizo na mume utakuwa umemtengeneza kama kinyago. Wewe mpende akupendae kwani hata wewe unatakiwa uendane na yeye na sio yeye tu aendane na wewe. Mimi kama nitakuja siku hamtamaniani tena i.e Frustration comes when you two break up just because you're in inapropriate relationship.
We mweusi unataka mume mweusi,jitafakariHello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu
1. Nina miaka 31
2. Mnene kiasi
3.nina elimu ya degree niko idara ya elimu
4. Sina mtoto
5.mweusi sio mrefu sana
6. Mkristu(catholic)
7. Ninaishi Dar, na ninafanya kaz Dar
Sifa za mwanaume ninayemwitaji
1.awe mweusi
2.awe mkristu mwenye miaka 34-40
3. Kama n mtoto awe naye 1 itakuwa poa
4.awe anafanya kaz, maana maisha n kusaidiana, pia awe anaishi DAR
sichagui kabila, plz naomba mtu ambaye yuko tayar. Asanten
Uko sahihi ila si unajua tena vurugu za dunia na huu utandawazi wa siku hiziUpendo unaanza machoni alafu ukaribu unajenga mahusiano sasa habari za ku download mwanaume mtandaoni aje na mridhiane ni mapya to me.
Hisia ni jambo pana sana sio kama maigizo ya jf na fb.
Nicheki mim tuyajengeSawa, wenye sifa watakuja.
utapataHello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu