Nahitaji kupata wazo la biashara; mtu akikupa mil.3 leo ungependa kufanya biashara gani? Gani?

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Wapendwa nahitaji mawazo yenu ya busara tafadhari, je mil. 3 ukiipata leo unaweza unaweza kuifanyia nini??
 
Wapendwa nahitaji mawazo yenu ya busara tafadhari, je mil. 3 ukiipata leo unaweza unaweza kuifanyia nini??

Mkuu,
Miye nitakushauri, uende jukwaa la Ujasiriamali, fungua uzi wa Malafyale 'Kilimo na Ufugaji vinalipa' soma pale utatoka na wazo.
Kwa mtaji huo, miye nadhani nenda shamba tu hata kama ni mchicha, utakutoa. Tanzania yetu bado ina ardhi ya kutoshana watu wengi wanaacha mashamba wanakimbilia mijini, hivyo kule mashamba yapo wazi tu kwa bei nafuu kabisa. Nakushauri kama utakubaliana nami kufanya kilimo, anza na mashamba ya kukodi tu.
Yataka moyo lakini, maneno ni rahisi kuliko vitendo.
Kwa leo mkuu.
 
Ni vema ukafanya research ili kuidentify business opportunity ya eneo ambayo unataka kufanya biashara hapo utawin
 
Other than that utajikuta unafungua biashara ambayo wako wengi sana wanaifanya katika eneo hilo and end up with stiff compettion that will need you to work hard that to compete your cometetors.
Dont forget that pale utapopata idea ya biashara
 
Kwa mana ya kwamba. Unaeza pata gud idea ya biashara ambayo ni kweli inalipa. Na kila mtu anajua.
Ila wewe utapoenda kuilocate inaweza ikawa iko totaly n complitey tofaut na wateja. Target customr
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako mzuri...Hivi matikiti maji yanalimwa sana wapi maeneo ya Dar na Pwani??
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako mzuri...Hivi matikiti maji yanalimwa sana wapi maeneo ya Dar na Pwani??

Dah. Hapo cjajua. Ila google.
Cku izi kila kitu ni transparnt.
Chezea mitandao wewe
 
Kibaka nae kavamia,
Admin ningeomba watu wa namna hii wa delete,maana umekuwa mtindo sasa,mtu ana jisajili kisha anapost ujuha hopo juu.
Kama ni pesa si apelekr kwao hiyo link ili waondokane na umaskini.
Udalali pori huu wa kujaza inbox za watu huu ukome.
Fanyakazi hakuna maisha ya mkato
 
Nenda morogoro vijijini, shamba wanauza laki moja kwa eka. nunua eka tano kisha kafanye kilimo cha matikiti maji, kifahamu zaidi kuhusu kilimo hicho pitia uzi mmoja hapo juu wa "kilimo cha matikiti maji"
 
Mkuu Sehemu gani hizo embu zitaje hizo Sehemu halafu pia bei hii kwa heka Sehemu ambazo naweza lima mahindi na alzeti asante kwa taarifa utakazo toa hapa. Much Love and Hope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…