Nahitaji kupigwa brashi kwenye Microsoft Word, Excel na Email

Nahitaji kupigwa brashi kwenye Microsoft Word, Excel na Email

Kantonto

New Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
2
Reaction score
1
Ndugu wanajamii nimepata mchongo la saba mimi ambao unahitaji niwe vizuri kwenye hayo niliyoyataja hapo.sina komputa ya kusema nitajifunzia ndo maana natafuta mtu ambaye anadesktop anipige msasa kiasi. Nipo Mwanza na siku nayoweza kuwa free ni jumapili.

Malipo tutakubaliana.

Karibu PM.
 
Ingia kwenye Telegram tafuta @WaGPTBot then utakuwa unamwuliza na atakufundisha kila kitu bure.

Utakuja kunishukuru baadaye
 
Back
Top Bottom