Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba kujua kampuni binafsi zinazohusika nabupimaji viwanja. Land survey zilizopo dsm
Sio matapeli.Humu mna matepeli ndugu yangu mimi walilamba kama laki 3, nikawainga home wakajifanya kuchora baadae wakatokomea ,
Sio matapeli.
Naomba unielewe kimakini;
Sio kila mahali panafaa kupima. Kuna maeneo yaliyokatazwa na serikali imeyatenga kwa Mipango yake ya maendeleo. Mpimaji akija kwenye eneo lako akigundua ni eneo lililo na kizuizi cha serikali kuna mambo mawili atafanya mojawapo.
1. Akiwa mstaarabu atakuambia eneo lako halipimiki chagua kuuza au jenga AT YOUR OWN RISK.
2. Kama ananjaa zake atachukua pesa zako atakuja kupima kifekifeki alafu baadae ndo anakuja kukuongopea serikali imenzuia kukutafutia hati kumbe muongo anajua tangu awali kwamba eneo lako umenunua Bomoa Bomoa.
Hiyo laki tatu aliochukua alikuhurumia labda alikuwa na shida ya soda tu lakini jaribu kuchunguza hilo eneo lako utagundua kuna tatizo ndo maana aliamua kupotea mazima. Kama kweli unania yakupima mtafute huyu jamaa: 0714259674
Ni muda gani tangu uwape laki3. Kwangu ilinichukua miezi 6 kupata hatimiliki na ilikuwa manispaa ya Ilala. Inawezekana bado wanafanya kazi yako lakini wewe umekata tamaa. Nakushauri jaribu kuwatafuta na upajue wanapoishi kabla hujatoa pesa lazima mtu ujue vizuri kabla hujampa pesa zako.Kwanza nikushukuru kwa ufafanuzi, labda wacha ni dadavue kidogo, nilikutana na kampuni moja huko sabasaba maonesho, nikawachia email address yangu, wakanitafuta na kwa vile sipo home nikawaelekeza home wakamuone kijana wangu,, wakafika wakapima, wakasema wanaeda check manispaa wakacheki wakaniambia pesa ya assesment ili waanze taratibu, mnyamwezi mie si nikatoa kilo 3,, baada ya hapo ndo ikawa Massalama
Hivi estimation inaeza fika bei gani??
2.7m hapa gharama za hati ni inclusive? au exclusive? kama ni exclusive nahisi kiwanja kitakuwa mikocheni. too expensive. Lukuvi (waziri wa ardhi) anampango wa kuondoa ukiritimba kwenye swala la title deed kwa kusajili viwanja na kotoa electronic title deeds zenye bar code. just stay tuned.Mimi walinichaji 2.7m mpaka kupata hati lakini garama kamili watafute hao jamaa wenyewe.
2.7 NI pesa nyingi, mimi nilipata kwa 650,000/= tu