Nahitaji kupima kiwanja

tiby

Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
40
Reaction score
7
Naomba kujua kampuni binafsi zinazohusika na upimaji viwanja (Land survey) zilizopo Dar es salaam..
 
Humu mna matepeli ndugu yangu mimi walilamba kama laki 3, nikawainga home wakajifanya kuchora baadae wakatokomea ,
 
Mwenye taarifa kuhusu watu wanaopima atutaarifu...
 
NimekuPM namba ya classmate wangu anakampuni yake. Anapima viwanja, mashamba na anakutafutia hati kwa muda mfupi na kwa garama nafuu.

Kwa watu wengine kama munahitaji mtafuteni kwa NAMBA 0714259674 atawasaidia kuwapimia.
 
Humu mna matepeli ndugu yangu mimi walilamba kama laki 3, nikawainga home wakajifanya kuchora baadae wakatokomea ,
Sio matapeli.
Naomba unielewe kimakini;
Sio kila mahali panafaa kupima. Kuna maeneo yaliyokatazwa na serikali imeyatenga kwa Mipango yake ya maendeleo. Mpimaji akija kwenye eneo lako akigundua ni eneo lililo na kizuizi cha serikali kuna mambo mawili atafanya mojawapo.
1. Akiwa mstaarabu atakuambia eneo lako halipimiki chagua kuuza au jenga AT YOUR OWN RISK.
2. Kama ananjaa zake atachukua pesa zako atakuja kupima kifekifeki alafu baadae ndo anakuja kukuongopea serikali imenzuia kukutafutia hati kumbe muongo anajua tangu awali kwamba eneo lako umenunua Bomoa Bomoa.

Hiyo laki tatu aliochukua alikuhurumia labda alikuwa na shida ya soda tu lakini jaribu kuchunguza hilo eneo lako utagundua kuna tatizo ndo maana aliamua kupotea mazima. Kama kweli unania yakupima mtafute huyu jamaa: 0714259674
 

Kwanza nikushukuru kwa ufafanuzi, labda wacha ni dadavue kidogo, nilikutana na kampuni moja huko sabasaba maonesho, nikawachia email address yangu, wakanitafuta na kwa vile sipo home nikawaelekeza home wakamuone kijana wangu,, wakafika wakapima, wakasema wanaeda check manispaa wakacheki wakaniambia pesa ya assesment ili waanze taratibu, mnyamwezi mie si nikatoa kilo 3,, baada ya hapo ndo ikawa Massalama
 
Ni muda gani tangu uwape laki3. Kwangu ilinichukua miezi 6 kupata hatimiliki na ilikuwa manispaa ya Ilala. Inawezekana bado wanafanya kazi yako lakini wewe umekata tamaa. Nakushauri jaribu kuwatafuta na upajue wanapoishi kabla hujatoa pesa lazima mtu ujue vizuri kabla hujampa pesa zako.
 
Mimi walinichaji 2.7m mpaka kupata hati lakini garama kamili watafute hao jamaa wenyewe.
2.7m hapa gharama za hati ni inclusive? au exclusive? kama ni exclusive nahisi kiwanja kitakuwa mikocheni. too expensive. Lukuvi (waziri wa ardhi) anampango wa kuondoa ukiritimba kwenye swala la title deed kwa kusajili viwanja na kotoa electronic title deeds zenye bar code. just stay tuned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…