Nahitaji kupimiwa kiwanja

mavado

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
1,153
Reaction score
798
Jamani husikeni na kichwa cha habari, nahitaji kujua gharama zake mpaka kupata title deed na je inachukua mda gani?? Wataalamu nijuzeni
 
Kiwanja chako kipo sehemu gani chief!
 
Actually kuna waliowahi nipimia zamani kidogo sema hawakumaliza waliishia kwenye kuchora ramani.
 
Jamani husikeni na kichwa cha habari, nahitaji kujua gharama zake mpaka kupata title deed na je inachukua mda gani?? Wataalamu nijuzeni

Google ardhiplan limited uchukue namba za simu utapata maelekezo vizuri. Jamaa ni wazuri sana katika masuala ya upimaji viwanja
 
Actually kuna waliowahi nipimia zamani kidogo sema hawakumaliza waliishia kwenye kuchora ramani.

Kwa hiyo mchoro wa eneo lako ulishatoka unamaanisha! Sehemu panapimika siyo
 
Google ardhiplan limited uchukue namba za simu utapata maelekezo vizuri. Jamaa ni wazuri sana katika masuala ya upimaji viwanja

Naomba namba zao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…