Habari wana JamiiForums,
Kuna kitabu changu ninakiandika, na bado kidogo kukimalizia. Nataka kujua ni utaratibu gani niufuate ili niweze kukiingiza sokoni na pia nahitaji kujua gharama za ku-print kila copy moja ya kitabu chenye page chini ya mia moja.