Nahitaji kuprint t-shirt 100 log ya campuni

spike

Senior Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
112
Reaction score
15
Mwenye uwezo wa Kuprinti t-shirt kwenye high quality na material nZuri ni PM bei Usisahau
 
kwanza kabisa unataka tahirt yenye ubora gani... (coller/form six au tshirt zenye round coller) then nkujibu...nishaku pm
 
kitu kingine je wewe usha tengeneza logo au unataka utengenezewe
 
Spike unatakiwa kusema ulipo,kwa maana ya mkoa, na kama unaweza unaweza kuweka sample unayotaka kisha watu wamiminike kubahatisha tenda badala ya kuweka mstari mmoja na kualika PM
 
Spike unatakiwa kusema ulipo,kwa maana ya mkoa, na kama unaweza unaweza kuweka sample unayotaka kisha watu wamiminike kubahatisha tenda badala ya kuweka mstari mmoja na kualika PM
kweli kabisa labda tunaweza pata hiyo tenda...
 
kwani hizi jezi bado zipo duniani?
hehehe wazee wa kufukuza kocha hahaha watakuha sasa hvi kujibu mapigo....kwwli kabisa angesema ni round coller au form six zwnye ccoller atupe hiyo kazi tuipige fasta
 
Poleni wandugu , niko mbeya t-shirt ni za form six, log ninayo na rangi iwe mchanganyiko wa kijani na nyeupe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…