Nahitaji kupunguza mwili

Nahitaji kupunguza mwili

ethicx

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
311
Reaction score
126
Habari zenu ndugu, naombeni msaada mnijuze namna yakupunguza mwili pamoja na uzito. Kwa msaada wowote au ushauri nitashukuru.
 
kunywa maji ya vuguvugu yalichang'anywa na asali na limao.kunywa kila asubuhi kabla ujala k2 chochote
 
Habari zenu ndugu, naombeni msaada mnijuze namna yakupunguza mwili pamoja na uzito. Kwa msaada wowote au ushauri nitashukuru.
Mkuu kuna thread nyingi sana mahali hapa(jukwaa hili la afya) zenye maelezo lukuki ya jinsi ya kupunguza uzito..Acha uvivu..hebu zitafute na uperuzi utapata mengi...
 
Usikate tamaa kuhusu afya yako na namna utakavyoweza kupata msaada. Ningependa ufuatilie bidhaa za lishe za afya kama inavyoelezewa hapo chini na utaweza kupata jibu la tatizo lako.

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.
KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo
WASIOPASWA KUTUMIA

  • Wajawazito
  • Wanaonyonyesha
  • Wagonjwa waliodhoofika sana mfano ukimwi, saratani, kifua kikuu, malaria, kisukari n.k
  • Watoto chini ya miaka 14
CORDY ROYAL JELLY
Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.
FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.
GOLDEN SIX
Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.
Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;

  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.
Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.
Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.
Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.
FAIDA ZA GOLDEN SIX

  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Hypomnesis
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

Ukiwa unahitaji ushauri au kuuliza unaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia waweza kuniandikia ujumbe wowote kupitia email ishealthy@hotmail.com
Gharama za MAGILIM ni Tsh 62500/-, CORDY ROYAL JELLY ni 65500/- na GOLDEN SIX ni 38000/-
 

Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 72
  • CORDY ROYAL JELLY.jpg
    CORDY ROYAL JELLY.jpg
    15.7 KB · Views: 54
  • GOLDEN SIX.jpg
    GOLDEN SIX.jpg
    14 KB · Views: 66
Nimekata 7kg ndani ya 2 months.
1st month nilikata 5kg.
Sikufanya mazoezi, sikupewa diet formular na mtu bali nilitumia basic knowledge tu.
I did starve myself, kama kufunga vile lkn nilikuwa nakunywa warm water asubuhi na mchana tunda moja (embe au ndizi). Jioni a very light meal size ya mtoto (kama ni ugali basi tonge 4-6) na majani mengi, protein na maji. Kabla ya kulala a glass of milk.
Kwanini sikuwa nakula asbh na mchana?
Ni kipindi ambacho nafanya kazi hivyo mwili unahitaji carolies sana, so mwili inabidi uunguze mafuta ili kupata nguvu.

Chakula nilichokuwa nakula jioni ni cha kunifanya nisife tu na si kutosheka au kushiba. With time, mwili ushazoea kiasi kwamba huwezi kufikia msosi mwingi sana.

Namshukuru Mungu, Nguo zangu za zamani sikugawa zote otherwise nilikuwa na gharama kubwa ya kuchange wardrobe.

I still want to shed at least 3 more kilos halafu nimaintain; kwa kuhakikisha ninaingiza (chakula) kile ninachoweza kuunguza kwa siku hiyo na kwa lifestyle yangu hii hii.
 
Nimekata 7kg ndani ya 2 months.
1st month nilikata 5kg.
Sikufanya mazoezi, sikupewa diet formular na mtu bali nilitumia basic knowledge tu.
I did starve myself, kama kufunga vile lkn nilikuwa nakunywa warm water asubuhi na mchana tunda moja (embe au ndizi). Jioni a very light meal size ya mtoto (kama ni ugali basi tonge 4-6) na majani mengi, protein na maji. Kabla ya kulala a glass of milk.
Kwanini sikuwa nakula asbh na mchana?
Ni kipindi ambacho nafanya kazi hivyo mwili unahitaji carolies sana, so mwili inabidi uunguze mafuta ili kupata nguvu.

Chakula nilichokuwa nakula jioni ni cha kunifanya nisife tu na si kutosheka au kushiba. With time, mwili ushazoea kiasi kwamba huwezi kufikia msosi mwingi sana.

Namshukuru Mungu, Nguo zangu za zamani sikugawa zote otherwise nilikuwa na gharama kubwa ya kuchange wardrobe.

I still want to shed at least 3 more kilos halafu nimaintain; kwa kuhakikisha ninaingiza (chakula) kile ninachoweza kuunguza kwa siku hiyo na kwa lifestyle yangu hii hii.

Hongera sana kwa kuweza kufanya hivyo. Wengi hawawezi kufanya hivyo pia inakuwa ni sawa na kujitesa kwao wakati wanataka waendelee kula vyakula vya viwandani ambavyo ni vitamu mdomoni. Wasioweza wafuate hiyo lishe niliyopost hapo na zinaonekana vema katika attachments. Huhitaji masharti yoyote katika kutumia. Shukrani
 
Kwanza itabidi ujifunze ujuwe ni jinsi gani uzito na unene kupita kiasi husababishwa na nini mwilini, ili kujuwa hayo tafadhari bonyeza HAPA.

Habari zenu ndugu, naombeni msaada mnijuze namna yakupunguza mwili pamoja na uzito. Kwa msaada wowote au ushauri nitashukuru.
 
Back
Top Bottom